Top Stories

Mkuu wa Wilaya Mbeya alivyomaliza mgomo wa daladala (+video)

on

Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Mjini Paul Ntinika amemaliza mgomo wa Madereva wa Daladala waliogoma kusafirisha Abiria kuanzia jana kutokana na kile wanachodai kuwa Bajaji zinazofanya safari ya kubeba Abiria zinawapiku kubeba Abiria.

Mkuu wa Wilaya ameagiza Bajaji kuanzia sasa zisipite barabara kuu na zifuate utaratibu waliopewa wa kupita barabara za pembeni walizopangiwa ili wasiingiliane na Daladala.

RAIS MAGUFULI AAGIZA NCHI TATU ZIPEWE MSAADA WA VYAKULA NA DAWA

Soma na hizi

Tupia Comments