Ni headlines za wazungu ambao walikuja Tanzania na baada ya kupanda Mlima Kilimanjaro waliugua na baadaye walirudi nchini kwao na kuuza kila kitu na kurejea Tanzania ambapo walijenga hospitali kwa ajili ya kutibu maradhi mbalimbali.
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo akifungua wodi ya wazazi katika eneo hilo alisifu jitihada hizo ambazo zimefanyika.
POLEPOLE AJIBU VYAMA VILIVYOUNGANA KUTOA TAMKO, ATAKA WASIWAJARIBU