Ad

Mix

Bank ya Dunia imetaja nchi zilizokua haraka kiuchumi 2017, Tanzania je?

on

Bank ya Dunia (WB) wametoa list ya nchi ambazo zinakuwa haraka kiuchumi mwaka 2017 huku nchi za Afrika na Asia zikionekana kushika kasi katika kukuza uchumi wake kutokana na kukua kwa biashara na miundombinu.

Katika list hii Ethiopia inakamata nafasi ya kwanza ambapo uchumi wake umekua kwa 8.3% huku Tanzania ikitajwa miongoni mwa nchi 10 ikikamata nafasi ya 5 uchumi wake ukikua kwa 7.2% huku uchumi wa Djibouti ukikua kwa 7% licha ya kukabiliwa na ukame mkubwa.

Mbunge wa Muleba Kusini Prof. Anna Tibaijuka alikuwa mmoja wa Wabunge waliochangia mapendekezo kwenye Bajeti Kuu ya Serikali inayoendelea kujadiliwa kwa mwaka wa fedha 2017/18 na kulieleza Bunge hali ya uchumi ilivyo nchini. Mtazame hapa!!!

Soma na hizi

Tupia Comments