Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Alichokiandika Rais wa Benki ya Dunia kuhusu jiji la Dar es salaam
Share
Notification Show More
Latest News
Habari kubwa Magazetini Kenya leo June 4, 2023
June 4, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo June 4, 2023
June 4, 2023
Picha: Kutoka Airport DSM, Ndege ya kwanza ya mizigo ‘Boeing 767-300F ilivyotua, Rais ashuhudia
June 3, 2023
Mapokezi ya ndege ya kwanza ya mizigo aina ya Boeing 767 -300F
June 3, 2023
Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan anatarajiwa kuapishwa kuliongoza taifa hilo
June 3, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Mix > Alichokiandika Rais wa Benki ya Dunia kuhusu jiji la Dar es salaam
Mix

Alichokiandika Rais wa Benki ya Dunia kuhusu jiji la Dar es salaam

March 21, 2017
Share
1 Min Read
SHARE

Baada ya kuwekwa jiwe la msingi kwenye uzinduzi wa ujenzi wa barabara za juu (interchange) katika eneo la Ubungo jijini Dar es Salaam March 20, 2017 kwa ufadhili wa Bank ya Dunia, Rais wa Bank hiyo Jim Yong Kim ameandika haya kuhusu jiji la Dar es Salaam na Tanzania kwa jumla.

“Kama ilivyo miji mingi ya Afrika, Dar es Salaam uliopo Tanzania unakua kwa haraka – na hivyo ni mji wenye msongamano wa magari. Suluhisho linahitajika, hivyo nilipewa heshima kujumuika na Rais John Pombe Magufuli kuweka jiwe la msingi kwa ajili ya barabara ya juu Ubungo.

‘Sehemu hii ya miundombinu itawaunganisha watu wengi kwenye kazi na nafasi mbalimbali na kufanya safari kwa mabasi mapya ya mwendokasi. BRT imeelezwa kuwa tayari imepunguza muda wa kusafiri kwa dakika 90. Bank ya Dunia inafurahi kuunga mkono kazi zote na inaangalia mbele kusaidia kulifukia pengo la miundombinu Tanzania na kwingineko Afrika.” – Jim Yong Kim.

VIDEO: Ulikosa kumuona Rais Magufuli akizindua mradi wa ujenzi wa intercange Ubungo, Dar es Salaam? Bonyeza play hapo chini kuitazama.

You Might Also Like

Hifadhi ya Mpanga Kipengere kusherehekea siku ya Maanguko ya Maji Duniani

Wabunge wafurahishwa na utekelezwaji wa mradi wa bomba la mafuta ghafi EACOP

Profesa Mkenda kufungua maonesho ya Nane ya Tafiti na Ubunifu UDSM

Miaka 5 ya ITM, Serikali imeahidi kuadhimisha sekta ya rasilimali watu

Yanga, UNICEF na Serikali zaungana kutoa elimu Ugonjwa wa Kipindupindu

TAGGED: Social media NEWS
Millard Ayo March 21, 2017
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article VIDEO: Taarifa ikufikie kuelekea game za Taifa Stars vs Botswana na Burundi
Next Article Magazeti ya Tanzania March 22, 2017 kuanzia, Udaku, Hardnews na michezo
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Habari kubwa Magazetini Kenya leo June 4, 2023
Magazeti June 4, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo June 4, 2023
Magazeti June 4, 2023
Picha: Kutoka Airport DSM, Ndege ya kwanza ya mizigo ‘Boeing 767-300F ilivyotua, Rais ashuhudia
Top Stories June 3, 2023
Mapokezi ya ndege ya kwanza ya mizigo aina ya Boeing 767 -300F
Top Stories June 3, 2023

You Might also Like

Top Stories

Picha: Kutoka Airport DSM, Ndege ya kwanza ya mizigo ‘Boeing 767-300F ilivyotua, Rais ashuhudia

June 3, 2023
Top Stories

Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan anatarajiwa kuapishwa kuliongoza taifa hilo

June 3, 2023
Top Stories

Watu 288 sasa wamethibitishwa kufarikiwengine 900 kujeruhiwa katika ajali ya treni India

June 3, 2023
Top Stories

Ukraine iko tayari kuzindua mashambulizi-Volodymyr Zelensky

June 3, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?