AyoTV

Video: Wabunge watatu wapya wameteuliwa na NEC leo

on

Baada ya Uchaguzi Mkuu october 2015, Tume ya Taifa ya Uchaguzi iliteua jumla ya Wabunge wanawake wa viti maalum 110 kati ya 113 ambapo viti vitatu vilibakizwa kusubiri uchaguzi wa majimbo nane ambayo uchaguzi wake uliahirishwa kutokana na sababu mbalimbali.

March 24 2016 Tume ya Taifa ya Uchaguzi ‘NEC’ imewateua Ritha Enespher Kabati na Oliver Daniel Semuguruka wa Chama cha Mapinduzi ‘CCM’ na Lucy Fidelis Owenya wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo ‘CHADEMA’ kuwa wabunge Wanawake wa viti Maalum katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

UNAWEZA KUTAZAMA VIDEO HII JINSI JAJI LUBUVA ALIVYOKUWA AKIWATAJA WABUNGE WATATU WAPYA WA VITI MAALUM

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Kuna uwezekano wa serikali ya umoja wa kitaifa Znz? katiba inasemaje?Angalia video hii

Tupia Comments