Habari za Mastaa

Kuanzia leo Rich Mavoko yuko mikononi mwa WCB ya Diamond Platnumz…(+Picha)

on

Ni June 2, 2016 ambapo label ya Wasafi inayomilikiwa na staa Diamond Platnumz inaingia kwenye headlines za Bongo Fleva baada ya kumtambulisha rasmi  msanii  wao mpya  Rich Mavoko ambaye anakuwa ni msanii wa nne atakayesimamiwa kazi zake katika label hiyo.

Kwa mujibu wa Diamond Platnumz alisema…’Kwasasa Label yangu inakuwa na jumla ya wasanii wanne ukiachana na Rich Mavoko kuna Dada yangu Queen Darling ambaye sijawahi kumtambulisha lakini anakuwa ni msichana wa kwanza katika label yangu kwahiyo tutakuwa na Raymond, Harmonize, Rich Mavoko na Queen Darling’- Diamond Platnumz

Hizi ni baadhi ya picha kutoka katika utambulisho wa msanii huyo mpya

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

BV5A9719

.

BV5A9722

.

BV5A9727

.

BV5A9729

.

BV5A9736

.

ULIIKOSA HII YA RAYMOND ALIVYOKUTANA NA DIAMOND PLATNUMZ ITAZAME HII VIDEO HAPA

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments