AyoTV

VideoFUPI: Wema Sepetu na Freeman Mbowe wakijadili jambo Mahakamani

on

Mwigizaji Wema Sepetu anatarajiwa kukaribishwa kama Mwanachama mpya wa CHADEMA leo ambapo ameonekana mapema akiwa ameungana na viongozi wa CHADEMA Mahakama kuu, kwenye hii video hapa chini anaonekana ndani ya Mahakama akijadili jambo na Freeman Mbowe.

VIDEO: Wema Sepetu alivyorudi Mahakamani jana February 22 2017, tazama kwenye hii video hapa chini

VIDEO: Wema Sepetu alivyopokelewa Dar baada ya kuukosa Ubunge, tazama kwenye hii video hapa chini

VIDEO: Irene Uwoya asema kwanini hakupost wala kusema chochote baada ya Wema Sepetu kukamatwa na Polisi sakata la dawa za kulevya

BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako MillardAyo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo

Soma na hizi

Tupia Comments