Michezo

Video na pichaz za ushindi wa FC Barcelona fainali ya klabu Bingwa Dunia, Messi na Suarez waingia nyavuni …

on

Michuano ya klabu Bingwa Dunia imeendelea tena kwa mchezo wa fainali kupigwa katika uwanja wa Nissan, mchezo wa fainali ya klabu Bingwa Dunia umepigwa kwa kuzikutanisha timu mbili klabu ya FC Barcelona ya Hispania ambaye ni muwakilishi wa bara la Ulaya katika michuano hiyo dhidi ya klabu ya River Plate kutoka bara la America.

1900 (1)

Huu ni mchezo wa pili wa FC Barcelona katika michuano hiyo baada ya mchezo wa nusu fainali kuibuka na ushindi mnono wa hat-trick ya mshambuliaji wa kimataifa wa Uruguay Luis Suarez. Katika mchezo wa fainali ya michuano hiyo FC Barcelona wameondoka na ushindi wa goli 3-0 dhidi ya River Plate ya Argentina na kutwaa Kombe hilo.

1450611979712_lc_galleryImage_Football_Soccer_River_Pla

December 20 safu ya ushambuliaji ya FC Barcelona iliongozwa na Lionel Messi aliyepachika goli la kwanza dakika ya 36, Luis Suarez aliyefunga goli mbili dakika ya 49 na 68 na  Neymar licha ya kuwa hakufunga goli. Mchezo wa nusu fainali FC Barcelona hawakuwa chezesha Lionel Messi na Neymar.

1450612168112_lc_galleryImage_Football_Soccer_River_Pla

1450612976353_lc_galleryImage_Football_Soccer_River_Pla

Video ya magoli ya mechi ya River Plate Vs FC Barcelona

https://youtu.be/JADv8rO5Os0

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye TwitterFBInstagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Tupia Comments