Habari za Mastaa

Almasi Mzambele ameweka wazi kilichomtoa WCB

on

Licha ya kuamua kukaa kimya tangu aondoke WCB, Meneja Biashara wa Baraka the Prince na Bana Music Records, Almas Mzambele ameamua kuzungumzia hilo akisema hakufukuzwa bali alimua kuondoka mwenye.

Akijibu baada ya kuulizwa na mtangazaji Adam Mchonvu, Almas alisema mambo matatu aliyoyataja Lord Eyes yaani ubinafsi, wivu na utengano ndio yamesababisha kuondoka kwake WCB.

>>>”Any way, sikufukuzwa nimetoka, ila kuna mengi japo sijapenda tuzungumzie huko sana. Hapo kwenye ubinafsi ndio point yenyewe, ila tukaushe kwenye hilo.” – Almasi Mzambele.

VIDEO: Show ya Navy Kenzo mjini Tel Aviv Israel

Soma na hizi

Tupia Comments