Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Jeshi la Zimamoto na uokoaji lapokea magari mapya matatu ya kuzima moto, Waziri Bashungwa anena haya
Share
Notification Show More
Latest News
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo June 3, 2023
June 3, 2023
Picha: DC Halima Bulembo aungana na wakuu wa Idara, ‘Kutekeleza wajibu wao katika Utumishi’
June 2, 2023
Upinzani unashinikiza mageuzi mapya ya uchaguzi
June 2, 2023
Mlipuko wa ugonjwa wa Marburg umekwisha rasmi Tanzania.
June 2, 2023
Nyota wa zamani wa Manchester United Lingard kuondoka Nottingham Forest
June 2, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Jeshi la Zimamoto na uokoaji lapokea magari mapya matatu ya kuzima moto, Waziri Bashungwa anena haya
Top Stories

Jeshi la Zimamoto na uokoaji lapokea magari mapya matatu ya kuzima moto, Waziri Bashungwa anena haya

April 1, 2023
Share
2 Min Read
.
SHARE

Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, limepokea magari mapya matatu ya kuzima moto kutoka kwa Shirika la Nyumbu lililopo Kibaha Mkoani Pwani ambalo lipo chini ya Jeshi la Wananchi na limekamilisha matengenezo ya magari hayo na yapo tayari kuanza kazi.

Magari hayo mapya yenye thamani ya zaidi ya Tsh. Bilioni 2.7 yenye uwezo wa kubeba maji lita 5,000/= na Foam lita 500 kwa kila gari, yamekabidhiwa kwa Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Jumanne Sagini kutoka kwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Innocent Bashungwa.

Baada ya makabidhiano hayo Waziri Bashungwa amenukuliwa akisema “Uwekezaji wa Viwanda katika Sekta ya Ulinzi (Defence Industry) ni moja ya maono ya Mh. Rais na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kujenga ustawi na kuimarisha Mashirika ya TATC Nyumbu na Mzinga ni kipaumbele kikubwa, nawapongeza TATC Nyumbu kwa uundaji wa magari ya zimamoto ambayo sasa yanaenda kutoa huduma kwa Wananchi kupitia Jeshi la Zimamoto na Uokoaji”

“Kuna shirika hili la Nyumbu na Mzinga yapo chini ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania kwahiyo zipo fursa za uwekezaji kwenye Wizara ya Ulinzi, walivyokuja Scania kuangalia engine wakaona utengenezaji wa bodi ya gari la zimamoto lililotengenezwa Nyumbu walishangaa sana wakaona kwa ubora huu hatuoni kwanini Tanzania iendelee kuagiza magari ya zimamoto wakati mnaweza kutengeneza hapa kwa viwango vya kimataifa na kupitiliza”

Kwa upande wake Kamishna Jenerali Masunga ametoa shukrani nyingi kwa Rais Dkt. Samia kwa kuendelea kuliwezesha Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kupitia Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi na kuahidi kuyatunza Magari hayo na kuendelea kuwahudumia Wananchi katika huduma za Kuzima Moto na Uokoaji.

.
.
.

You Might Also Like

Picha: DC Halima Bulembo aungana na wakuu wa Idara, ‘Kutekeleza wajibu wao katika Utumishi’

Upinzani unashinikiza mageuzi mapya ya uchaguzi

Mlipuko wa ugonjwa wa Marburg umekwisha rasmi Tanzania.

Serikali ya Congo na mahakama ya ICC zakubaliana kuimarisha ushirikiano

Amnesty yaonya Iran dhidi ya Kunyonga kwa Kesi zinazohusiana na madawa ya kulevya

Edwin TZA April 1, 2023
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Picha: Benki ya CRDB ilivyofutarisha wadau pamoja na watoto wenye uhitaji Zanzibar
Next Article Picha: Mwenyekiti wa CCM Dkt Samia aongoza kikao maalum cha kamati kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo June 3, 2023
Magazeti June 3, 2023
Picha: DC Halima Bulembo aungana na wakuu wa Idara, ‘Kutekeleza wajibu wao katika Utumishi’
Top Stories June 2, 2023
Upinzani unashinikiza mageuzi mapya ya uchaguzi
Top Stories June 2, 2023
Mlipuko wa ugonjwa wa Marburg umekwisha rasmi Tanzania.
Top Stories June 2, 2023

You Might also Like

Top Stories

Picha: DC Halima Bulembo aungana na wakuu wa Idara, ‘Kutekeleza wajibu wao katika Utumishi’

June 2, 2023
Top Stories

Upinzani unashinikiza mageuzi mapya ya uchaguzi

June 2, 2023
Sports

Nyota wa zamani wa Manchester United Lingard kuondoka Nottingham Forest

June 2, 2023
Top Stories

Serikali ya Congo na mahakama ya ICC zakubaliana kuimarisha ushirikiano

June 2, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?