Top Stories

‘Huku ndiko Rais Magufuli anataka twende’ – Mbunge Seif Gulamali

on

Mbunge wa Jimbo la Manonga Seif Khamis Gulamali ametumia ukurasa wake wa Instagram kuonyesha Rais Magufuli “anapotaka twende”

Gulamali ame-post video fupi akionesha barabara za juu (flyover) za Muscat, Oman ikiwa na caption inayosomeka “Huku ndiko Rais Magufuli anataka twende” tazama kwenye hii video hapa chini kujionea.

Msemaji wa Serikali Dr. Abbas nae amepost kwenye Twitter akisema Fly Over ya TAZARA itakamilika muda si mrefu na itazinduliwa “Daraja la juu la Tazara kazi inakamilika na litazinduliwa rasmi hivi karibuni.Tutawajulisha”

“Wanaohangaika watapata tabu sana” – JPM

VIDEO: STEVE NYERERE AMJIBU MUNA LOVE… BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUMTAZAMA

Soma na hizi

Tupia Comments