Top Stories

Dakika 4 za Mbowe mbele ya Lowassa “tushindane kwa hoja, usitake nikusikilize wewe tu”

on

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Freeman Mbowe amefika Jimboni Monduli kumnadi Mgombea Ubunge wa Jimbo hilo kupitia Chama hicho ambpoa Mbunge wa awali alijiuzulu Ubunge na kuhamia CCM.

Akizungumza mbele ya Lowassa, Mbowe amesema ifike mahali waachwe washindane kwa hoja na sio kutumia dola.

Lema ” Lindeni heshima ya Lowassa, Dunia nzima inawaangalia nyie”

Soma na hizi

Tupia Comments