Habari za Mastaa

Dk.Kanye West, Kim Kardashian kurudia viapo vya ndoa!!

on

kan

May 24 mwaka huu itakua ni Anniversary ya mastaa Kim Kardashian na Kanye West baada ya kutimiza mwaka mmoja wa ndoa yao ambayo walifunga mwaka jana katika sherehe iliyofanyika Italy na kuhudhuriwa na watu mbalimbali.

Wawili hao ambao kwa sasa wana mtoto mmoja aitwaye North West wamepanga kuhitimisha siku hiyo kwa kurudia viapo vya ndoa yao katika mnara wa Eiffel uliopo jijini Paris, Ufaransa.

mnaraa

Mnara wa Eiffel uliopo jijini Paris

Kanye ambaye kwa sasa anajulikana kwa jina la Dk. Kanye West amepanga kufanya kitu cha tofauti katika siku yao hiyo muhimu ambayo itahudhuriwa na watu wa karibu zaidi ambao ni wanafamilia.

Unahitaji chochote ninachokipata kisikupite? jiunge na mimi kwenye TwitterFacebook na Instagram kwa kubonyezahapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahaukusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video yaAyoTVikufikie

Tupia Comments