Top Stories

Vitu vya ajabu vinavyopatikana katika Wilaya inayoongoza kwa mapato (+video)

on

Mkuu wa Wilaya ya Longido Frank Mwaisumbe amefunguka baada ya Wilaya yake kuongoza kwa ukusanyaji wa mapato katika Mkoa wa Arusha nakusema katika Wilaya yake kuna vivutio vingi vya Utalii ambavyo vikitumika vizuri basi ataendelea kuongoza.

DC Mwaisumbe “kuna eneo ambalo ukisimama unaweza kuona Milima mikubwa ikiwemo Oldonyo Lengai pamoja na Kilimanjaro

“UKIJIPENDEKEZE KWA WANASIASA NAKUONDOA..TUNATAKA RUSHWA IPUNGUE” JPM

Soma na hizi

Tupia Comments