Top Stories

RC Brigedia Gaguti katika eneo lenye mgogoro “Uwezo wa kuhimili vurugu tunao wa kutosha” (+video)

on

Mkuu wa Mkoa wa Kagera Brigedia Jeneral Marco Gaguti amefika katika Wilaya ya Karagwe ambapo kuna mgogoro wa wakulima na wafugaji na kutoa maamuzi yake baada ya kupata ripoti ya kamati aliyoiandaa na kuamua kuweka kambi ya wiki moja katika eneo hilo ili kuhakikisha mgogoro unaisha.

WARAKA WA MAKAMBA: NISIKILIZE RUGE, SIJALIPA DENI, NIPE ISHARA

Soma na hizi

Tupia Comments