Mix

TRAILER: Nimeipata trailer ya movie mpya Bongo ya kuitazama weekend hii

on

Kama ni mmoja wa wanaopenda kutembelea nyumba za cinema kutazama movie wakati wa weekend ninayo good news kwako…ni kutoka kwa watayarishaji wa SIRI YA MTUNGIambapo mara hii wametuletea TUNU.

Ni filamu yenye uhalisia wa kitanzania ambayo itakuwa moja ya cinema zitakazooneshwa Mlimani City Century Cinemax leo May 19, 2017.

Unaweza kutazama Trailer hapa chini >>>

Video: Dakika 14 ilivyozinduliwa Filamu mpya ya ‘Kumekucha Tunu’ >>>

Soma na hizi

Tupia Comments