Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Headlines za Staa Wema Sepetu kuwa na mpenzi mpya Mcongo, kayaandika haya….
Share
Notification Show More
Latest News
Alhamisi ya TBT: Video 10 za kitambo kutokea Marekani hautozijutia kuzitazama
February 2, 2023
Habari kubwa Magazetini Kenya leo February 2, 2023
February 2, 2023
Utaipenda: Muonekano mpya wa Ilala, namna Bilioni 120 ilivyoibadilisha
February 2, 2023
Watu 60809 wapata Elimu ya Sheria Morogoro
February 2, 2023
Video: Mama amwaga machozi mbele ya Mwenyekiti wa umoja wa UVCCM, Rais Samia amtumia ujumbe huu
February 2, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Habari za Mastaa > Headlines za Staa Wema Sepetu kuwa na mpenzi mpya Mcongo, kayaandika haya….
Habari za Mastaa

Headlines za Staa Wema Sepetu kuwa na mpenzi mpya Mcongo, kayaandika haya….

March 15, 2016
Share
2 Min Read
SHARE

Tangu mwaka 2016 uanze miongoni mwa story zilizochukua headlines kwenye mitandao mbalimbali ni hii inayomuhusu mwigizaji staa wa Tanzania, Wema Sepetu kuwa ana mahusiano ya kimapenzi na Mcongo.

Sasa leo kupitia instagram amejibu tetesi hizo na kuandika..‘Sijawahi na sitowahi kuwa na mwanaume Mcongo wa aina yoyote ile… Sasa nashangaa watu wameona mimi ndo daraja la kuwapa umaarufu… Im Tired… Huyo apocalypse sijui kitu gani aint my man… I only know him as a friend.So please guys niacheni kidogo tafadhal… Alam-siq…!!!?????? And ontop of all dat I think u all know me by now nikiwa na mtu sijivungi kumtangaza maana huwa I live to please my heart… Mwanaume wangu nadhani anajulikana’>> @wemasepetu

‘Sasa endeleeni kumpa huyo baba attention sababu yeye nako naona kashaona ni kamchezo kakupatia followers.Na nyie mnampa airtime ya kutosha anaendelea Ananiudhi na mimi kiukweli hadi napata hasira.But nakaa tu kimya… This is too much now’>>> wemasepetu

Sijawahi na sitowahi kuwa na mwanaume Mcongo wa aina yoyote ile… Sasa nashangaa watu wameona mimi ndo daraja la kuwapa umaarufu… Im Tired… Huyo apocalypse sijui kitu gani aint my man… I only know him as a friend… So please guys…. Niacheni kidogo tafadhal… Alam-siq…!!!?????? And ontop of all dat I think u all know me by now nikiwa na mtu sijivungi kumtangaza maana huwa I live to please my heart… Mwanaume wangu nadhani anajulikana… Sasa endeleeni kumpa huyo baba attention sababu yeye nako naona kashaona ni kamchezo kakupatia followers… Na nyie mnampa airtime ya kutosha…. So anaendelea… Ananiudhi na mimi kiukweli hadi napata hasira… But nakaa tu kimya… This is too much now…!

A photo posted by wemasepetu (@wemasepetu) on Mar 14, 2016 at 11:37am PDT


Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

You Might Also Like

Exclusive: Dully Vanny kwa uchungu azungumzia video chafu aliyotajwa, amtaja diamond na mama yake

Audiomack yazindua kampeni ya ‘Ngoma juu ya ngoma’ kukuza muziki wa kitanzania

Exclusive: Con boi kafunguka hana mawasiliano na Lunya,Quick Rocka, akumbuka kifo cha mpenzi wake

Mkali Burna boy ametuletea hii video mpya akiwa amemshirikisha Ed Sheeran

Tazama alichokifanya Diamond mbele ya Wizkid backstage, ampa Shavu Focalistic (video+)

Edwin TZA March 15, 2016
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article VIDEO: EXCLUSIVE: Paul Makonda kaongea nini baada ya kupewa Ukuu wa Mkoa Dar?
Next Article Jibu la Donald Ngoma kwa nini alitoa machozi kabla ya mchezo wa APR March 12 (+Video)
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Alhamisi ya TBT: Video 10 za kitambo kutokea Marekani hautozijutia kuzitazama
Top Stories February 2, 2023
Habari kubwa Magazetini Kenya leo February 2, 2023
Magazeti February 2, 2023
Utaipenda: Muonekano mpya wa Ilala, namna Bilioni 120 ilivyoibadilisha
Top Stories February 2, 2023
Watu 60809 wapata Elimu ya Sheria Morogoro
Top Stories February 2, 2023

You Might also Like

Top Stories

Alhamisi ya TBT: Video 10 za kitambo kutokea Marekani hautozijutia kuzitazama

February 2, 2023
Top Stories

Utaipenda: Muonekano mpya wa Ilala, namna Bilioni 120 ilivyoibadilisha

February 2, 2023
Top Stories

Video: Mama amwaga machozi mbele ya Mwenyekiti wa umoja wa UVCCM, Rais Samia amtumia ujumbe huu

February 2, 2023
Top Stories

liganga na Mchuchuma ngoma nzito, Waziri akubali hoja za Askofu Gwajima

February 2, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?