Mix

VideoMPYA:Davido kwenye collabo ya Fabolous na Jeremih ‘Choosy’

on

Ni msanii kutoka Nigeria, mkali Davido ambae bado anaendelea kuzimiliki vichwa vya habari kutokana na collabo anazopata nchini Marekani.

Hivi karibuni tuiisikia rekodi mpya Davido akiwa ameshirikishwa na Chrisbrown iitwayo ‘Lower Body‘, sasa habari njema nyingine ni kwamba leo nimekusogezea hiii akiwa yeye na Jeremiah wameshirikishwa  na Staa Fabolous wimbo unaitwa Choosy.

 

Soma na hizi

Tupia Comments