Michezo

Kama ulimis kuona hat trick ya Welbeck jana – nimekuwekea video ya magoli hapa

on

article-2776817-21DEA58600000578-826_964x404Akiitumikia klabu yake ya Arsenal kwa mara ya pili kwenye michuano hiyo, Welbeck aliungana na washambuliaji Mike Newell, Andy Cole (mara mbili), Alan Shearer, Owen (mara mbili) and Rooney – kuwa wachezaji pekee raia wa Uingereza ambao wamewahi kufunga hat trick katika michuano ya ulaya.

Magoli yake matatu yaliisaidia Arsenal kushinda 4-1

Arsenal vs Galatasaray 4-1 All Goals… by imidzs24lmno

Tupia Comments