Habari za Mastaa

Wema Sepetu afunguka matumizi dawa za kulevya,kunywa Pombe (+video)

on

Tunayo stori kutokea kwa msanii wa filamu Tanzania, Wema Sepetu ambapo leo akiwa katika Kongamano la Waigizaji Tanzania ameweza kuzungumza mambo mengi ikiwemo matumizi ya dawa za kulevya na unywaji wa Pombe.

Wema Sepetu ambaye anakabiliwa na kesi ya kuchapisha picha za ngono katika mtandao wake wa Instagram katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu amewahasa waigizaji wenzake kuepukana na matumizi ya dawa za kulevya.

Kama tukiendeleza hivi vitu usanii tutaendelea kuusikia kwenye Bomba tu wenzetu wakiendelea sisi tutabaki hapa hapa,“amesema.

WEMA SEPETU AJUTIA ALIYOYAFANYA “BRAND ILISHUKA, NILIKUWA MNYONGE”

Soma na hizi

Tupia Comments