Habari za Mastaa

Wema Sepetu kafunguka “Sependi Papai, Corona”

on

Leo May 5, 2020 Mwigizaji Wema Sepetu amezungumza na waandishi wa habari baada ya kupata dili jipya la ubalozi wa viungo vya mapishi kupitia kipindi chake cha Cook with Wema Sepetu.

Wakati Wema akizungumza na wandishi aliulizwa kuhusu Papai na ishu ya Corona ambapo alijibu haya.

Bonyeza PLAY kutazama hapa chini alichojibu

 

 

Soma na hizi

Tupia Comments