fB insta twitter

Pongezi alizozitoa Wema Sepetu kwa Diamond Platnumz

on

Ukaribu wa mastaa Wema Sepetu na Diamond Platnumz unazidi kuzichukua Headlines kila siku. Mastaa hawa wamekuwa wakiweka post ambazo zimekuwa zikiongeza maswali kwa mashabiki ambao wanahoji sababu za wao kufanya hivyo wakati waliwahi kuwa kwenye ugomvi baada ya kuachana.

Leo November 7, 2016 Mrembo Wema Sepetu ameweka post ya kumpongeza Diamond Platnumz baada ya kushinda tuzo tatu za AFRIMA2016 zilizotolewa jijini Lagos, Nigeria usiku wa kuamkia leo.

Post ya pongezi ya Wema Sepetu kwenda kwa Diamond Platnumz

VIDEO: Ipo Hapa FULL SHOW ya Vanessa Mdee, Alikiba, Yemi Alade, Tekno, Barakah Da Prince na Jux kwenye FIESTA2016

Soma na hizi

Tupia Comments