Pichaz za Birthday Party ya Wema Sepetu, mastaa wa Bongo nao ndani !!
Share
4 Min Read
.
SHARE
Sherehe za birthday nazo zina uzito wake, Unaambiwa Wema Sepetu ambaye ni mwigizaji wa Bongo Movie alifanya Party yake Novemba 1, 2015 akawaalika mastaa wengi kutoka Bongo Movie na Bongo Fleva, kiukweli ilipendeza sana.
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAMTWITTERFBYOUTUBE