AyoTV

VIDEO: ‘Hatukubaliani na matokeo na tutakwenda Mahakamani’ -Freeman Mbowe

on

April 5, 2017 Bunge limepiga kura za kuwapitisha wawakilishi wa bunge la Afrika Mashariki ambapo wagombea saba pekee ndio waliopitishwa kwa kupigiwa kura za ndio huku sita kati yao wakitokea Chama cha mapinduzi (CCM) na mmoja Chama cha wananchi CUF huku wagombea wawili wa CHADEMA wakikosa sifa baada ya kupigiwa kura nyingi za HAPANA.

Nje ya ukumbi wa Bunge Kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani Bungeni Freeman Mbowe ameongea na waandishi wa habari na kusema kuwa hawakubaliani na matokeo na watakwenda Mahakamani. 

LIVE BUNGENI: Kipindi cha maswali na majibu April 04 2017 

Soma na hizi

Tupia Comments