Premier Bet
TMDA Ad

Michezo

Arsene Wenger ni kocha wa nne kuhusishwa kufukuzwa kazi Uingereza msimu huu, hili ndio jina la mrithi wake

on

Headlines za vibarua vya makocha wa Ligi Kuu Uingereza msimu huu kutoka katika vilabu vikubwa kuwa mashakani vinazidi kushika kasi kila kukicha, ilianza kwa kocha Jose Mourinho kufukuzwa kazi na Chelsea baada ya kuhusishwa kwa wiki kadhaa.

Majina ya kocha wa Man City Manuel Pellegrini, kocha wa Man United Louis van Gaal na sasa kocha wa klabu ya Arsenal aliyodumu na klabu hiyo kwa zaidi ya miaka 10 Arsene Wenger March 21 ameripotiwa kuwa huenda akafutwa kazi na nafasi yake kurithiwa na Jose Mourinho.

jose-murinho_2720804b

Jose Mourinho

Hadi sasa Manuel Pellegrini imefahamika ataondoka Man City mwisho wa msimu, lakini jina la Wenger ndio lipo katika headlines Uingereza March 21, Wenger ameandikwa na mitandao zaidi ya miwili ikiwemo express.co.uk kuwa huenda akafukuzwa Arsenal.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika AYO tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye TwitterFBInstagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments