Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: WENYE UMRI CHINI YA MIAKA 18 KUTUMIA TIKTOK KWA LISAA LIMOJA TU.!
Share
Notification Show More
Latest News
Katibu wa NEC anena kuhusu mfumo wa M-Mama, utasaidia kupunguza vifo vya akina Mama Wajawazito
May 30, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo May 30, 2023
May 30, 2023
Waziri Masauni asimama Bungeni Mei 29, 2023 ‘Watanzania 66 waukana Uraia’
May 29, 2023
Sentensi za Mkurugenzi wa Asas kwenye Mkutano Mkuu wa 37 wa Jumuiya ya Tawala za mitaa Tanzania (ALAT)
May 29, 2023
Hospitali yachunguzwa kwa madai ya kuwaweka watoto wachanga kwenye maboksi
May 29, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > WENYE UMRI CHINI YA MIAKA 18 KUTUMIA TIKTOK KWA LISAA LIMOJA TU.!
Top Stories

WENYE UMRI CHINI YA MIAKA 18 KUTUMIA TIKTOK KWA LISAA LIMOJA TU.!

March 1, 2023
Share
2 Min Read
SHARE

TikTok ilitangaza mapema hii leo kwamba kila akaunti ya mtumiaji aliye na umri wa chini ya miaka 18 atakuwa na chaguo la kikomo cha muda wa kutumia application hiyo, ambapo kila kijana aliye na umri chini ya miaka 18 matumizi ya mtandao huo utakuwa ni wa lisaa limoja tu kwa siku, ikiwa ni moja ya hatua kali zaidi za kampuni hiyo ya mitandao ya kijamii kuzuia vijana kutumia muda mwingi kwenye simu zao.

Ingawa watumiaji wa TikTok wenye umri chini ya miaka 18 watakuwa na uwezo wa kuzima mpango huo mpya ambao utaanza kutumika katika wiki kadhaa zijazo tiktok inatumai kwamba mabadiliko hayo yanaweza kuimarisha ustawi wa kidijitali wa watumiaji wenye umri mdogo kwa kuwahitaji kuchagua kuweka vikomo vya muda wa kutumia kifaa, badala ya kutumia muda mwingi kutumia mtandao huo.

Ikiwa kikomo cha dakika 60 kimefikiwa, watumiaji wataombwa waweke nambari ya siri inayowahitaji kufanya uamuzi wa kuongeza muda watakaotumia kupitia video mbali mbali kwenye application hiyo.

Hatua hiyo imekuja baada ya TikTok na majukwaa mengine ya mitandao ya kijamii kukabiliwa na uchunguzi wa miaka mingi juu ya athari zao kwa watumiaji wenye umri mdogo, TikTok pia inakabiliwa na shinikizo kubwa kutoka serikali ya Marekani juu ya wasiwasi wa usalama kutokana na uhusiano na serikali ya China kupitia kampuni mama ya Bytedance pamoja na mjadala mpya wa uwezekano wa Marekani kupiga marufuku programu ya video ya muda mfupi.

Tiktok pia ilitangaza ujio wa kipengele kitakacho wawezesha wazazi kuuunganishwa na akaunti za watoto au vijana wao na kuweka vidhibiti. Wazazi wataweza kuchuja video zenye maneno au maudhui ambayo hawataki zionekane kwenye page zao, kuweka kikomo maalum cha muda wa kutumia application hiyo kwa siku na kuweka ratiba maalum ya kudhibiti upokeaji wa taarifa za TikTok. Mitandao mengine ikiwa ni pamoja na Instagram na Snapchat vile vile imetoa vidhibiti vya ziada vya wazazi na vipengele vinavyohimiza vijana kuchukua mapumziko ya kutumia vifaa vyao.

You Might Also Like

Katibu wa NEC anena kuhusu mfumo wa M-Mama, utasaidia kupunguza vifo vya akina Mama Wajawazito

Waziri Masauni asimama Bungeni Mei 29, 2023 ‘Watanzania 66 waukana Uraia’

Sentensi za Mkurugenzi wa Asas kwenye Mkutano Mkuu wa 37 wa Jumuiya ya Tawala za mitaa Tanzania (ALAT)

Hospitali yachunguzwa kwa madai ya kuwaweka watoto wachanga kwenye maboksi

Marekani yabatilisha visa ya spika wa bunge la Uganda baada ya saini Mswada mkali wa ushoga kuwa sheria

TAGGED: TZA HABARI
Geena TZA March 1, 2023
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Dkt Mabula awataka Wananchi kuchangamkia zoezi la Urasimishaji
Next Article MASHIRIKA YA KISERIKALI MAREKANI YAPEWA SIKU 30 KUSITISHA MATUMIZI YA TIKTOK.
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Katibu wa NEC anena kuhusu mfumo wa M-Mama, utasaidia kupunguza vifo vya akina Mama Wajawazito
Top Stories May 30, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo May 30, 2023
Magazeti May 30, 2023
Waziri Masauni asimama Bungeni Mei 29, 2023 ‘Watanzania 66 waukana Uraia’
Top Stories May 29, 2023
Sentensi za Mkurugenzi wa Asas kwenye Mkutano Mkuu wa 37 wa Jumuiya ya Tawala za mitaa Tanzania (ALAT)
Top Stories May 29, 2023

You Might also Like

Top Stories

Katibu wa NEC anena kuhusu mfumo wa M-Mama, utasaidia kupunguza vifo vya akina Mama Wajawazito

May 30, 2023
Top Stories

Waziri Masauni asimama Bungeni Mei 29, 2023 ‘Watanzania 66 waukana Uraia’

May 29, 2023
Top Stories

Hospitali yachunguzwa kwa madai ya kuwaweka watoto wachanga kwenye maboksi

May 29, 2023

Marekani yabatilisha visa ya spika wa bunge la Uganda baada ya saini Mswada mkali wa ushoga kuwa sheria

May 29, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?