Top Stories

Kauli ya kwanza ya Mkurugenzi wa TANESCO baada ya kuhamia Dodoma (+video)

on

December 4, 2018 Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umeme nchini (TANESCO) Dr. Tito Mwinuka amefanya uzinduzi rasmi wa Shirika hilo kuhamia Dodoma ambapo amewaeleza Waandishi wa Habari baadhi mikakati waliyojiwekea ikiwemo kuongeza huduma za usambazaji wa umeme nchini.

MSIMAMO WA CCM JUU YA ISHU YA MEMBE NA DK. BASHIRU “CHUKI, UHASAMA” VYATAJWA, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA

Soma na hizi

Tupia Comments