Top Stories

Mwanamke mwenye ndevu alivyoombwa ndevu zake zimtajirishe mtu kishirikina

on

Mwanamke kuwa na ndevu si kitu cha ajabu ila kwa huyu Mwanamke ambaye anaishi Mkoani Mbeya Christina Sauli ameeleza kukutana na changamoto nyingi baada ya kuwa na ndevu kidevu kizima hali iliyopelekea kuombwa ndevu zake kwa malengo ya kumpa mtu utajiri.

Ameeleza kuwa ndevu hizo pia zimemsababishia watu wasiomfahamu kumsema vibaya kuwa ana kiburi, na kuwa anajifanya mwanaume sababu ya ndevu zake.

Ulipitwa na hii? “Hatutamvumilia yeyote atakayechelewesha ujenzi huu wa reli ya Standard Gauge” – RAHCO

Soma na hizi

Tupia Comments