Premier Bet
TMDA Ad

Habari za Mastaa

AudioMPYA: Weusi wametuletea collabo hii na Christian Bella’Nijue’

on

Kila siku wasanii wa bongofleva wanashirikiana kuupeleka Next level muziki wa Tanzania kwa style tofauti tofauti, Leo Nov 10 2016 kundi la wasanii wanaofanya vizuri kwenye hiphop game “Weusi” wamefanya collabo na King of Best Mellodies Christian Bella nakutuletea vionjo vya tofauti vya ngoma hii iitwayo ‘Nijue’ chini ya producer Nahreel.

Nimekuweka hapa chini Bonyeza Play kuusikiliza 

VIDEO: Christian Bella na suprise ya TID kwenye stage ya Fiesta 2016 DSM

Soma na hizi

Tupia Comments