AyoTV

VIDEO: Madee kapiga kipensi kumsapoti Zahera

on

Baada ya kuwepo na maneno mengi katika mitandao ya kijamii kuwa siku ya Jumamosi ya Septemba 14 2019 katika mchezo wa CAF Champions League kati ya Yanga na Zesco United ya Zambia, mashabiki wa Yanga walikuwa wanaiita ni siku ya vipensi kwa maana ya kuvaa na kumsapoti kocha wao.

Msanii wa Bongofleva Madee alikuwa miongoni wa mashabiki wa Yanga waliovaa pensi kama ishara ya kumuunga mkono Zahera aliyeadhibiwa na bodi ya Ligi kwa kuvaa kipensi katika mchezo wa Ligi kuu dhidi ya Ruvu Shooting.

EXCLUSIVE: SAMATTA KAFUNGUKA DILI LAKE KWENDA ENGLAND, VIPI CHAMPIONS LEAGUE

Soma na hizi

Tupia Comments