Ad

Top Stories

“Wewe ukizingua, tutazinguana, mmeniudhi sana” Rais Samia Ikulu leo (+video)

on

“Wewe ni kijana mimi ni mama ukinizingua tutazinguana,” ni kauli ya Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kwenda kwa  Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Meli Tanzania  (TASAC).

“Ulikuwa ndani ya Tasac unayajua madudu yaliyopo.  Jambo lililoniudhi zaidi kwa mwaka mmoja mmefanya vikao 23 vya bodi na imetumiwa karibu Sh600 milioni, ukiangalia kilichozungumzwa na tija ya vikao hivyo hakuna.” Samia

“Nataka ukafanye kazi na sio kwenda kupandisha mabega kwa wenzio uliowaacha, kama kuna makundi ukayaondoe, tunataka Tasac izalishe. Nasisitiza kafanye kazi ukinizingua tutazinguana,” Samia

Soma na hizi

Tupia Comments