Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: PICHA 25: Muonekano wa ndani na nje nyumba aliyouza Lil Wayne Tsh. 22b
Share
Notification Show More
Latest News
Utacheka: Mwijaku apanda gari la Diamond ‘Rolls Royce’, Zuchu aangua kicheko, Baba Levo atia neno
August 19, 2022
Picha: Diamond ameingia makubaliano ya kudhamini mashindano ya Ndondo Cup
August 19, 2022
Kuelekea Sensa Agosti 23, Mbunge wa Jimbo la Ushtu anena hili kwa Wananchi wake
August 19, 2022
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 19, 2022
August 19, 2022
Kiwanda cha Chai Mponde Ujenzi wake umefikia 95%
August 18, 2022
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Mix > PICHA 25: Muonekano wa ndani na nje nyumba aliyouza Lil Wayne Tsh. 22b
Mix

PICHA 25: Muonekano wa ndani na nje nyumba aliyouza Lil Wayne Tsh. 22b

June 24, 2017
Share
1 Min Read
SHARE

Mastaa mbalimbali duniani hupenda siyo tu kununua na kuendesha magari ya kifahari pia wako mstari wa mbele kununua nyumba za nguvu lakini hawapendi kuzitumia kwa muda mrefu.

Story iliyonifikia ni kuhusu kupatikana mmiliki mpya wa jumba la kifahari lililopo Miami Beach, Fla. ambalo lilikuwa milki ya Rapper Dwayne Michael Carter Jr., maarufu kama Lil Wayne ambaye ameliuza kwa Dollar 10m ambazo ni zaidi ya Tsh. 22b.

Mjengo huo awali uliingia sokoni mwaka 2015 kwa bei ya Dollar 18m zaidi ya Tsh. 39.6b lakini likakosa mnunuzi na likashushwa bei hadi Dollar 12m zaidi ya Tsh. 26.4b hakupatikana pia mteja kabla ya kuuzwa kwa bei hiyo.

Nimekuwekea picha 25 hapa za muonekano wa ndani na nje ya jengo hilo.

You Might Also Like

Kiwanda cha Chai Mponde Ujenzi wake umefikia 95%

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 17, 2022

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 13, 2022

Mwana FA alivyoungana na Viongozi mbalimbali kuhamasisha Zoezi la Sensa, Masuguru Wilayani Muheza

Bwawa la Mwalimu nyerere sasa kazi ni Usiku na Mchana, ‘kukamilika June 2024’ Waziri Makamba anena

TAGGED: Pichaz
Millard Ayo June 24, 2017
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Ebitoke baada ya kukutana na Ben Pol
Next Article VIDEOMpya: Quick Rocka na OMG wanayo hii video nyingine kwaajili yako “Watasema”
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Utacheka: Mwijaku apanda gari la Diamond ‘Rolls Royce’, Zuchu aangua kicheko, Baba Levo atia neno
Entertainment August 19, 2022
Picha: Diamond ameingia makubaliano ya kudhamini mashindano ya Ndondo Cup
Entertainment August 19, 2022
Kuelekea Sensa Agosti 23, Mbunge wa Jimbo la Ushtu anena hili kwa Wananchi wake
Top Stories August 19, 2022
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 19, 2022
Magazeti August 19, 2022

You Might also Like

Magazeti

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 18, 2022

August 18, 2022
Magazeti

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 16, 2022

August 16, 2022
Magazeti

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 15, 2022

August 15, 2022
Magazeti

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 14, 2022

August 14, 2022
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?