Top Stories

Tanzania yapewa heshima kubwa na Shirika la Anga Duniani

on

Nchi ya Tanzania imepewa heshima kubwa na Shirika la Anga Duniani ya kupandisha bendera katika Mlima Kilimanjaro kwa lengo la kutangaza Mlima huo katika masuala ya kiutalii ambapo Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Anga Tanzania Hamza Johari ameongoza zoezi hilo la kuanza kupanda mlima huo kwa siku tano

RAIS AMUITA ALIYEPATA MKE GEREZANI,ATANGAZA SIKU YA HARUSI YAKE

Soma na hizi

Tupia Comments