Habari za Mastaa

Whozu amuomba Tunda msamaha kwa kumfumania na Mwanamke mwingine “pokea simu, rudi nyumbani Darling” (+video)

on

Baada ya kukiri kwamba ni kweli amem-cheat mpenzi wake Tunda kwa kulala na Mwanamke mwingine alipokua China hivi karibuni ambako alikwenda kikazi na kusaini dili na lebo ya  Too Much Money, Msanii Whozu pamoja na kujaribu kumtafuta Tunda na kumuomba msamaha bila mafanikio, ameamua pia kutumia media kuomba msamaha alipokaa kwenye On AiR with Millard Ayo, bonyeza play hapa chini kumtazama

LIVE: IDRIS SULTAN AMUOMBA RADHI RAIS MAGUFULI “UKIWEZA NISAIDIE MZEE”

HATIMAE WOLPER AFUNGUKA KUACHANA NA HARMONIZE, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUMTAZAMA

Soma na hizi

Tupia Comments