Msanii wa Bongofleva Whozu amefunguka Kwa mara ya kwanza toka afungiwe BASATA na hata kupewa msamaha siku ya Leo huku akitakiwa kulipa faini ya Milioni 5 ili aweze kuendelea na kazi zake za sanaa
Whozu amesema “Ilikuwa sio rahisi kuwaeleza watu niliokuwa nafanya nao kazi kuwa nimefunguwa sitaweza kuendelea nao Kwenye kazi, kupitia msamaha huu Nimejifunza, nashukuru Kwa msahama huu Sababu nitakua huru kufanya kazi zangu, video iliyofungiwa ni zaidi Ya Milioni 8”