AyoTV

Video: Irene Uwoya kafunguka wanaodai kuwa ni mjamzito

on

NI Headlines za Mwigizaji Irene Uwoya ambae amekaa kwenye Ayo TV na kufunguka juu ya tetesi za kuwa na ujauzito (mimba) baada ya kusambaa kwa picha yake iliyoashiria kuwa ana ujauzito.

Unaweza ukabonyeza play kuitazama hii video ujionee majibu ya Irene Uwoya juu ya tetesi hizo za kuwa na ujauzito

ULIIKOSA HII YA IDRI SULTAN AKIWA MBELE YA WAANDISHI HABARI AKIMUOMBA RADHI RAIS MAGUFULI

Soma na hizi

Tupia Comments