Habari za Mastaa

Hii ndio official video ya mdundo mpya wa Will Smith: “Fiesta” – (Video).

on

Mwanzoni wa mwezi huu Will Smith aliweka headlines na ujio wa wimbo wake wa kwanza wa HipHop “Fiesta” baada ya kupotea kwa miaka 10 kwenye kurasa za muziki wa HipHop Marekani… kama wewe ni miongoni wa mashabiki wa Will Smith basi hii good news ikufikie, official video ya “Fiesta” ipo hewani tayari!

BIG WILL2

Will Smith ambaye pia amesharekodi karibia nyimbo 30 ana mpango wa kufanya world tour mwakani na DJ Jazzy Jeff… kama hujabahatika kukutana na video mpya ya Will mpaka sasa basi karibu uitazame hapa chini.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter,FB,Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>>INSTAGRAM, TWITTER, FB YOUTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments