Habari za Mastaa

Dakika 3 na sekunde 14 zinatosha kuangalia hii video mpya kutoka kwa Wiz Khalifa

on

wizHadi sasa umesha enjoy kusikiliza wimbo wa Wiz Khalifa ‘We Dem Boyz’ ambao utakuwa kwenye album ya tano ya Wiz ambayo itatoka August 19. Kwenye hii album ameshirikiana na wasanii kama Nicki Minaj, Snoop Dogg, Juicy J,Ty Dolla $ign na wengine.

Promises ni wimbo mwingine utakao kuwa kwenye album hii na hapa kuna video yake.

Tupia Comments