Habari za Mastaa

Wizkid kwenye headlines nyingine na staa wa kimarekani……

on

Swizz Beatz ni producer mkali  ambaye hata ukisema utaje majina makubwa ya Maproducer wakali watano Marekani huwezi kumsahau.

Sasa leo June 20, 2016 ameingia kwenye headlines baada ya kupost picha katika ukurasa wake wa instagram akiwa na mkali kutokea Nigeria, Wizkid ikiashiria tutegemee kitu kizuri kutoka kwa wawili hao.

@wizkidayo Vibes on 200⚡️⚡️⚡️⚡️⚡️ Stay tuned ?????????

A photo posted by therealswizzz (@therealswizzz) on

444444

Pichani:Wizkid aliungana na Chris Brown kufanya show ya pamoja kwenye ukumbi wa Ziggo Dome huko Amsterdam ambapo wawili hao waliimba kwa mara ya kwanza wimbo wao mpya uitwao ‘African Bad Girl’.

Kwa sasa nyota ya Wizkid imeonekana kung’ara zaidi baada ya wimbo alioshirikishwa na Drake uitwao ‘One Dance’ kuvunja rekodi kwenye Billbord Top 100.

ULIIKOSA HII SHOW YA DIAMOND ILIYOVUNJA REKODI MAREKANI BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments