Top Stories

Wizara “Hekima itatumika usajili wa laini kwa wasio na kitambulisho cha Taifa” (+video)

on

Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Atashasta Nditiye amesema Serikali itatumia hekima kuwasaidia wananchi walioshindwa kusajili laini za simu kwa sababu ya kukosa kitambulisho cha Taifa na namba licha ya kuanza mchakato wa kupata kitambulisho hicho.

“Serikali itaona jinsi ya kutumia hekima kwa wananchi ambao taarifa zao zipo katika ofisi za NIDA kuona namna ya kufanya lakini kwa wengine ambao hawajajaza fomu laini zao zitazimwa,” Nditiye

“TUNAONA MENGI KWENYE MITANDAO, RC UNATUTOA AIBU” KATIBU WA CCM MBEYA

Soma na hizi

Tupia Comments