Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Wizara ya Nishati kufanyia kazi suala ujenzi wa Chuo cha Gesi Mtama
Share
Notification Show More
Latest News
Bosi wa kampuni ya Sabuni aamua kula bidhaa yake kuthibitisha kuwa ni za asili
September 27, 2023
Mazungumzo ya Poland na Ukraine yanaendelea baada ya kupiga marufuku uagizaji wa nafaka
September 27, 2023
Urusi inashutumu Marekani na Uingereza kwa kusaidia kupanga mashambulizi kwenye meli za Bahari Nyeusi
September 27, 2023
Iringa :ahukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kumbaka mtoto mwenye umri wa miaka 7
September 27, 2023
Ukraine yawashikilia wanaume 2 wanaotuhumiwa kuisaidia Urusi katika mgomo wa Kiev
September 27, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Wizara ya Nishati kufanyia kazi suala ujenzi wa Chuo cha Gesi Mtama
Top Stories

Wizara ya Nishati kufanyia kazi suala ujenzi wa Chuo cha Gesi Mtama

September 19, 2023
Share
1 Min Read
SHARE

Naibu Waziri wa Nishati, Mhe, Judith Kapinga amesema kuwa Wizara ya Nishati itafanyia kazi suala la ujenzi wa Chuo cha Gesi, Mtama-Lindi.

Naibu Waziri Kapinga amesema hayo wakati akiwa kwenye ziara ya Rais, Dkt.Samia Suluhu Hassan mkoani Lindi.

Ombi la kujengwa kwa Chuo hicho lilitolewa na Mbunge wa Jimbo la Mtama mkoani Lindi ambaye pia ni Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe.Nape Nnauye ambaye awali alieleza kuwa, wananchi wa Mtama wametenga ardhi kwa ajili ya ujenzi wa Chuo cha Gesi na kwamba wamekwishakabidhi eneo hilo kwa Wizara ya Nishati wakisubiri maamuzi yafanyike kuhusu jambo hilo.

Tazama pia…..

You Might Also Like

Bosi wa kampuni ya Sabuni aamua kula bidhaa yake kuthibitisha kuwa ni za asili

Mazungumzo ya Poland na Ukraine yanaendelea baada ya kupiga marufuku uagizaji wa nafaka

Urusi inashutumu Marekani na Uingereza kwa kusaidia kupanga mashambulizi kwenye meli za Bahari Nyeusi

Iringa :ahukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kumbaka mtoto mwenye umri wa miaka 7

Ukraine yawashikilia wanaume 2 wanaotuhumiwa kuisaidia Urusi katika mgomo wa Kiev

TAGGED: TZA HABARI
Geena TZA September 19, 2023
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Ugonjwa wa ajabu waua 7 nchini Ivory Coast
Next Article Zaidi ya wahitimu 1200 watarajiwa kupata mafunzo ya Ujasiriamali
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Bosi wa kampuni ya Sabuni aamua kula bidhaa yake kuthibitisha kuwa ni za asili
Top Stories September 27, 2023
Mazungumzo ya Poland na Ukraine yanaendelea baada ya kupiga marufuku uagizaji wa nafaka
Top Stories September 27, 2023
Urusi inashutumu Marekani na Uingereza kwa kusaidia kupanga mashambulizi kwenye meli za Bahari Nyeusi
Top Stories September 27, 2023
Iringa :ahukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kumbaka mtoto mwenye umri wa miaka 7
Top Stories September 27, 2023

You Might also Like

Top Stories

Bosi wa kampuni ya Sabuni aamua kula bidhaa yake kuthibitisha kuwa ni za asili

September 27, 2023
Top Stories

Mazungumzo ya Poland na Ukraine yanaendelea baada ya kupiga marufuku uagizaji wa nafaka

September 27, 2023
Top Stories

Urusi inashutumu Marekani na Uingereza kwa kusaidia kupanga mashambulizi kwenye meli za Bahari Nyeusi

September 27, 2023
Top Stories

Ukraine yawashikilia wanaume 2 wanaotuhumiwa kuisaidia Urusi katika mgomo wa Kiev

September 27, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?