Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Wizi wa mafuta EWURA yawataka wenye magari kuwa makini
Share
Notification Show More
Latest News
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu kurejelea kesi yake na tuhuma za ufisadi
December 4, 2023
Marekani imeingilia kinyume cha sheria bahari ya Kusini -China
December 4, 2023
Haaland anaweza kukabiliwa na hatua ya kinidhamu
December 4, 2023
Sitaki kuitazama Man United tena-Gary Neville
December 4, 2023
Newcastle wanapaswa kumsajili David De Gea ili kuziba pengo la Nick Pope
December 4, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Wizi wa mafuta EWURA yawataka wenye magari kuwa makini
Top Stories

Wizi wa mafuta EWURA yawataka wenye magari kuwa makini

November 27, 2020
Share
1 Min Read
SHARE

Meneja Mawasiliano wa EWURA, Titus Kaguo, amesema mtu anapokwenda kujaza mafuta anapaswa kuhakikisha kwenye pampu inasomeka alama 00 ndipo aanze kujaziwa mafuta, vinginevyo anaweza kuibiwa.

“Mfano kama kuna mtu kapita hapo kajaza mafuta ya 20,000 na wewe umepita unataka kujaza pengine 50,000 hakikisha alama zile kwenye pampu zinasomeka ‘00’ kwa sababu usipohakiki utajaziwa kwa kuanzia ile 20,000 aliyojaziwa mwenzako,” Kaguo

Amesema ili kuepuka usumbufu kama huo ni vyema wenye magari wakaachana na kawaida ya kubaki kwenye magari wakiendelea na mambo mengine kwa kuwa hali hiyo inatoa mwanya wa kuibiwa na watumishi wa aina hiyo.

Amesema ili uanze kujaziwa mafuta hakikisha mkono wa pampu umerudi kwenye sehemu yake ya kawaida na hesabu isome 00.

“Kama mkono wa pampu haujarudi kwenye sehemu yake ya kawaida inamaana akikuwekea mafuta unaweza kukuta hesabu inaanzia ile ambayo mwenzako aliyepita amewekewa,” Kaguo

MELI KUBWA KUTOKA UARABUNI, INABEBA TANI ELFU 55

You Might Also Like

Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu kurejelea kesi yake na tuhuma za ufisadi

Marekani imeingilia kinyume cha sheria bahari ya Kusini -China

Haaland anaweza kukabiliwa na hatua ya kinidhamu

Sitaki kuitazama Man United tena-Gary Neville

Newcastle wanapaswa kumsajili David De Gea ili kuziba pengo la Nick Pope

TAGGED: TZA HABARI
Pascal Mwakyoma TZA November 27, 2020
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Polisi wazuia msafara wa Bobi Wine, waamrisha hotel zisiwahudumie
Next Article Raia 59 wa Ethiopia wanaswa Mwanza, “wameingia kwa njia za panya” (+video)
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu kurejelea kesi yake na tuhuma za ufisadi
Top Stories December 4, 2023
Marekani imeingilia kinyume cha sheria bahari ya Kusini -China
Top Stories December 4, 2023
Haaland anaweza kukabiliwa na hatua ya kinidhamu
Sports December 4, 2023
Sitaki kuitazama Man United tena-Gary Neville
Sports December 4, 2023

You Might also Like

Top Stories

Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu kurejelea kesi yake na tuhuma za ufisadi

December 4, 2023
Top Stories

Marekani imeingilia kinyume cha sheria bahari ya Kusini -China

December 4, 2023
Sports

Haaland anaweza kukabiliwa na hatua ya kinidhamu

December 4, 2023
Sports

Newcastle wanapaswa kumsajili David De Gea ili kuziba pengo la Nick Pope

December 4, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?