Habari za Mastaa

Utapenda kuiona video mpya ya Wiz Khalifa ‘Most of Us’ – (Video)!

on

Mara baada ya kuzindua European tour, yake na ASAP Rocky, Wiz Khafila ameamua aisogeze kwetu video yake mpya kabisa “Most of Us”.

Wiz Khalifa ambaye pia ni kiongozi wa Taylor Gang anategemea kufanya European tour yake mpaka mwanzoni wa mwezi November mwaka huu ambapo njiani atakuwa anasindikizwa na wasanii mbalimbali.

WIZWIZ

Video ya “Most Of Us” ipo hewani tayari kama bado hujakutana nayo basi karibu uitazame hapa chini mtu wangu.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE kwa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments