Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Wizkid ajitokeza hadharani baada ya muda wa tukio la mama yake kufariki
Share
Notification Show More
Latest News
Mwanamke aliyeshinda taji la Miss Zimbabwe azua mzozo wa ubaguzi wa rangi
September 27, 2023
Indonesia:Wananchi wapigwa marufuku kununua au kuuza bidhaa kwenye mitandao ikiwemo TikTok
September 27, 2023
Ukraine kutumia muda wa ukimya siku ya Jumapili kuwaenzi wanajeshi wake
September 27, 2023
Ukraine imesema haitacheza katika mashindano ya kandanda yanayohusisha timu za Urusi
September 27, 2023
Shule yatozwa faini kwa kutumia picha za watoto bila idhini ya wazazi Kenya
September 27, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Entertainment > Wizkid ajitokeza hadharani baada ya muda wa tukio la mama yake kufariki
Entertainment

Wizkid ajitokeza hadharani baada ya muda wa tukio la mama yake kufariki

September 15, 2023
Share
1 Min Read
SHARE

Mwimbaji wa Nigeria aliyeshinda tuzo ya Grammy, Ayodeji Ibrahim Balogun, almaarufu Wizkid, amejitokeza hadharani kwa mara ya kwanza tangu kufariki kwa mama yake, Bi Jane Dolapo Balogun.

Ikumbukwe kuwa Bi Balogun alifariki mwezi uliopita katika Jimbo la Lagos na tangu tukio hilo, Wizkid, alibaki nje ya macho ya umma na nje ya mitandao ya kijamii.

Hata hivyo, Wizkid sasa amejitokeza hadharani kwa mara ya kwanza baada ya takriban mwezi mmoja katika hali ya mapumziko akiomboleza kifo cha mamake.

Kulingana na picha zinazosambaa kwenye mtandao, Wizkid alipigwa picha akiwa katika ukumbi wa The V&A jijini London, Uingereza, akihudhuria mwonekano wa faragha wa “Gabrielle Chanel Fashion Manifesto” Jumatano, Septemba 13, 2023.

You Might Also Like

Mwanamke aliyeshinda taji la Miss Zimbabwe azua mzozo wa ubaguzi wa rangi

Indonesia:Wananchi wapigwa marufuku kununua au kuuza bidhaa kwenye mitandao ikiwemo TikTok

Ukraine kutumia muda wa ukimya siku ya Jumapili kuwaenzi wanajeshi wake

Ukraine imesema haitacheza katika mashindano ya kandanda yanayohusisha timu za Urusi

Shule yatozwa faini kwa kutumia picha za watoto bila idhini ya wazazi Kenya

TAGGED: TZA HABARI
Geena TZA September 15, 2023
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Jinsi Ronaldo alivyosababisha Ten Hag kumuondoa Maguire kama nahodha wa Man Utd
Next Article ‘Kipaji chake hakina mipaka’ofisi ya rais yampongeza msanii Rema
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Mwanamke aliyeshinda taji la Miss Zimbabwe azua mzozo wa ubaguzi wa rangi
Entertainment September 27, 2023
Indonesia:Wananchi wapigwa marufuku kununua au kuuza bidhaa kwenye mitandao ikiwemo TikTok
Top Stories September 27, 2023
Ukraine kutumia muda wa ukimya siku ya Jumapili kuwaenzi wanajeshi wake
Top Stories September 27, 2023
Ukraine imesema haitacheza katika mashindano ya kandanda yanayohusisha timu za Urusi
Sports September 27, 2023

You Might also Like

Entertainment

Mwanamke aliyeshinda taji la Miss Zimbabwe azua mzozo wa ubaguzi wa rangi

September 27, 2023
Top Stories

Indonesia:Wananchi wapigwa marufuku kununua au kuuza bidhaa kwenye mitandao ikiwemo TikTok

September 27, 2023
Top Stories

Ukraine kutumia muda wa ukimya siku ya Jumapili kuwaenzi wanajeshi wake

September 27, 2023
Top Stories

Shule yatozwa faini kwa kutumia picha za watoto bila idhini ya wazazi Kenya

September 27, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?