Habari za Mastaa

Wizkid alivyompandisha Burna boy kwenye ukumbi wa 02 Arena huko London

on

NI Headlines za staa kutokea Nigeria, Wizkid ambae time hii amemiliki tena vichwa vya habari katika mwendelezo wa utoaji wa burudani huko London.

Ikiwa show ya mwisho kati ya show zake tatu alizozifanya kwa siku tatu mfululizo ndani ya ukumbi wa 02 Arena, sasa time hii amempandisha mkali Burna Boy tazama hapa.

Soma na hizi

Tupia Comments