Habari za Mastaa

Making the video ya rapper @Wakazi Kariakoo na town Dsm.

on

wakazi 3HEFEMI Studios ambayo ni kampuni ya Mtanzania anaeishi Marekani ndio inahusika kuifanya hii video mpya ya rapper Wakazi ambae mwaka 2013 alipata nafasi ya kuonekana kwenye stage nyingine kubwa ya Africa (BBA) na kuonyesha uwezo wake.

Wakazi anakwambia hii video mpya ya sumu ya panga ‘my city’ itakufikia mwishoni  mwa mwezi January 2014 ambapo imefanywa kwenye maeneo kadhaa ya Dar es salaam ikiwemo Mnazi mmoja na Kariakoo.

wakazi 2Wakazi na director msaidizi Mecky.

wakazi 1Wakazi na fans wake.

wakazi 4

wakazi 5Wakazi na Manager wake aitwae Thuwein.

wakazi 6Wakazi na Hefemi kwenye scene Kariakoo

wakazi 8

wakazi 9Hefemi wamefanya hii video ya Wakazi pia hapa chini

Tupia Comments