Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Jibu la Wema Sepetu baada ya kuulizwa kuhusu taarifa za kupigana na Kajala (+audio)
Share
Notification Show More
Latest News
Alhamisi ya TBT: Video 10 za kitambo kutokea Marekani hautozijutia kuzitazama
February 2, 2023
Habari kubwa Magazetini Kenya leo February 2, 2023
February 2, 2023
Utaipenda: Muonekano mpya wa Ilala, namna Bilioni 120 ilivyoibadilisha
February 2, 2023
Watu 60809 wapata Elimu ya Sheria Morogoro
February 2, 2023
Video: Mama amwaga machozi mbele ya Mwenyekiti wa umoja wa UVCCM, Rais Samia amtumia ujumbe huu
February 2, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > beef > Jibu la Wema Sepetu baada ya kuulizwa kuhusu taarifa za kupigana na Kajala (+audio)
beefHabari za Mastaa

Jibu la Wema Sepetu baada ya kuulizwa kuhusu taarifa za kupigana na Kajala (+audio)

November 24, 2015
Share
1 Min Read
SHARE

Kwa zaidi ya siku nne ni stori ambayo ime-trend kwenye magazeti, habari za burudani kwenye Radio na hata kwenye mitandao mbalimbali.. ni ishu ya Waigizaji wawili waliokua marafiki lakini sasa hawaelewani.

Iliripotiwa na mitandao mbalimbali kwamba wawili hawa walipigana walipokutana kwenye kiwanja cha starehe ambapo ripota wa millardayo.com alipomtafuta Kajala alionekana kutokua na furaha, kwa lugha ya kipole akaomba aachwe kidogo na ataiongelea hii ishu siku nyingine.

Wema Kajala

Wema Sepetu alipatikana lakini akatoa maneno machache tu baada ya kuulizwa ni kweli ugomvi wake na Kajala ulifikia mpaka kupigana na kurushiana chupa wakiwa kwenye kiwanja cha starehe usiku, Wema akajibu >>> ‘Hapana bwana, hakuna kitu kama hicho, hamna kitu kama hicho… mimi sio drama Queen, siko kwenye level hiyo‘

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE kwa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

You Might Also Like

Mabibi na Mabwana Harmonize katuletea album yake mpya ‘Made for us’ yenye nyimbo 14

Exclusive: Dully Vanny kwa uchungu azungumzia video chafu aliyotajwa, amtaja diamond na mama yake

Audiomack yazindua kampeni ya ‘Ngoma juu ya ngoma’ kukuza muziki wa kitanzania

Exclusive: Con boi kafunguka hana mawasiliano na Lunya,Quick Rocka, akumbuka kifo cha mpenzi wake

Harmonize na Kajala mapenzi yapamba moto jukwaani Kigoma, mabusu kama yote

TAGGED: Kajala, Wema Sepetu
Millard Ayo November 24, 2015
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Sikukuu ya Uhuru na usafi, Mawaziri wamtesa Rais Magufuli, Mashamba, Viwanda kunyang’anywa? – (Audio)
Next Article Adele aweka wazi sababu ya kutamani kufanya ‘remix’ ya Hotline Bling na Drake!
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Alhamisi ya TBT: Video 10 za kitambo kutokea Marekani hautozijutia kuzitazama
Top Stories February 2, 2023
Habari kubwa Magazetini Kenya leo February 2, 2023
Magazeti February 2, 2023
Utaipenda: Muonekano mpya wa Ilala, namna Bilioni 120 ilivyoibadilisha
Top Stories February 2, 2023
Watu 60809 wapata Elimu ya Sheria Morogoro
Top Stories February 2, 2023

You Might also Like

Top Stories

Alhamisi ya TBT: Video 10 za kitambo kutokea Marekani hautozijutia kuzitazama

February 2, 2023
Top Stories

Utaipenda: Muonekano mpya wa Ilala, namna Bilioni 120 ilivyoibadilisha

February 2, 2023
Top Stories

Video: Mama amwaga machozi mbele ya Mwenyekiti wa umoja wa UVCCM, Rais Samia amtumia ujumbe huu

February 2, 2023
Top Stories

liganga na Mchuchuma ngoma nzito, Waziri akubali hoja za Askofu Gwajima

February 2, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?