AyoTV

VIDEO: Mastaa ambao Walter Chilambo amewahi kuwaandikia nyimbo

on

Walter Chilambo ni moja kati ya watunzi wazuri ambao walikuwepo katika muziki wa Bongofleva kwa sasa mkali huyo ameamua kuachana na muziki wa Bongofleva na kwa sasa anaimba Gospel.

Millardayo na AyoTV zilimpata Walter kwenye exclusive interview na katika mambo aliyoyaongelea amewataja wasanii  ambao alishawahi kuwaandikia ngoma…….

>>>’ Siku nilivyokutana na na Jux akaniambia anapenda mashairi yangu na mistari yangu je tunaweza kufanya kitu, so tukakutana siku tukaenda kwa Maneke, nyimbo ya pili akaaniita tena na nyingine kama mbili hivi bado zinakuja pia Vanessa tuko kwenye makubaliano lakini kuna  nyimbo pia tulikua tumefanya’

VIDEO: ‘Nimeamua kufanya hivyo, wasanii wamekua wengu’ Walter Chilambo, Bonyeza play hapa chini kutazama

Soma na hizi

Tupia Comments