Habari za Mastaa

Wolper afunguka sababu za kuachana na Harmonize (+video)

on

Ni Exclusive Interview kutoka kwenye ON AIR WITH MILLARD AYO ambapo Mwigizaji Jackline Wolper amekaa na kuhojiwa na Mtangazaji Millard Ayo kuhusu kuachana kwake na Mwimbaji wa Bongofleva Harmonize….

Kabla kwanza ya kuanza kuongea, Wolper alisali ili kuomba Mungu amuondolee hasira kwenye kila atakachokizungumza, humo ndani ametajwa na kuongelewa Sarah ambae ni mwanamke mpya wa Harmonize na wengine, play hapa chini kumtazama mwanzo mwisho

BEEF: Alikiba kamjibu Diamond Platnumz…. play hapa chini kujionea

VIDEO: Dogo Janja alivyomkimbia P FUNK baada ya kuona msg za mapenzi alizomtumia mwanae Paula, UTACHEKA ANAVYOSIMULIA….. bonyeza play hapa chini kumtazama

VIDEO: Roma Mkatoliki asimulia….. “WALIONITEKA WALINIAMBIA NITATOKA 2030” play hapa chini kumtazama Roma mwanzo mwisho

APP MPYA: Usisahau ku-install APP mpya ya ‘millardayo’ inayopatikana kwa wale wenye simu za ANDROID, kama ulikua na ile ya zamani naomba uifute…. karibu sana mtu wa nguvu, UNAWEZA KUI-INSTALL KWA KUBONYEZA HAPA >>> APP MPYA

Soma na hizi

Tupia Comments