AyoTV

VIDEO: Majibu yametoka kwa walioulizia ile Range Rover ya Wema Sepetu na kwamba imechukuliwa na mwenyewe

on

Kwenye stori za mastaa wa Tanzania zilizozungumzwa sana ndani ya wiki tatu zilizopita ni pamoja na hii, ishu kubwa ni kuhusu umiliki wa ile Range Rover ya mwigizaji Wema Sepetu aliyotangaza kujipa siku ya birthday yake… majibu yote yapo ukibonyeza play kwenye hii video hapa chini

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments